Kuondoa kipara

Kuficha kipara!

Kuondoa kipara au kuongeza ujazo wa nywele kwa kuweka mfano wa nywele kwa kutumia scalp micropigmentation “permanent tatooing”

Katika teknolojia hii, micropigmentation/tatooing inafanyika kwa kuiga mfano wa nywele halisi, inapendeza sana!inadumu kwa miaka 5 hadi miaka 10.

Matokeo unayaona papo hapo.

Kwa taarifa zaidi pamoja na kufanya booking bonyeza hapa.