Njia bora kabisa ya kupunguza na kutunza uzito usiongezeke ni kuwa na utaratibu bora wa chakula chetu cha kila siku, na kufanya mazoezi ya mwili. Tuzingatie zaidi kula vyakula na vinywaji vyenye virutubisho kwa wingi. Watanzania kwa sasa tunakula kiasi Read more
Category: blog
Jinsi ya kuondoa chunusi mgongoni
Jinsi za Kuondoa Chunusi Mgongoni Je una vipele au viuvimbe vidogovidogo mgongoni? Ungependa kujua njia rahisi na upesi ya kuondoa chunusi na vipele hivi? Katika blogu hii tutakuonyesha njia za kweli na zenye ufanisi mkubwa za kuondoa chunusi mgongoni. Je Read more
Njia mbadala ya kuondoa chunusi
Njia Mbadala za Kuondoa Chunusi Badala ya kubahatisha kuondoa chunusi kwa kutumia colgate, ni muhimu uzingatie njia zingine salama na hakika za kuondoa vipele hivi. 1. Dawa ya Meno ya Colgate Huenda Ikasababisha Mwasho Kwenye Ngozi Yako Kumbuka kuwa colgate Read more
Colgate kuondoa chunusi
Colgate Kuondoa Chunusi – Elewa Zaidi Kwa miaka mingi watu wanaamini kuwa dawa ya meno ya colgate ina ufanisi mkubwa katika kuondoa chunusi usoni, shingoni, na hata mgongoni. Na ingawa kwa kweli baadhi ya vitu vinavyotengeneza colgate vina nguvu ya Read more
Chunusi kwenye uume
Chunusi Kwenye Uume Chunusi zinaweza kutokea katika sehemu yoyote ya mwili iliyo na vitundu vya kutolea jasho. Hii ina maana kuwa viuvimbe hivi vinaweza kutokea hata kwenye uume wako. Na kwa sababu hii ni sehemu nyeti, ni muhimu sana uwe Read more
Chunusi matakoni
Chunusi Matakoni – Sababu na Tiba Kuna watu wengi sana wanaosumbuliwa na tatizo sugu la chunusi matakoni. Na ingawa chunusi zinaweza kutokea usoni, shingoni, kifuani, na mgongoni, chunusi za matako ni moja wapo wa chunusi sugu zaidi. La kushangaza ni Read more