Vampire facial/microneedling
For a glowing, beautiful, healthy, youthful skin
Collagen induction therapy a.k.a vampire facial
One of our clients favorite treatments
Kwa ngozi nyororo, iliyonawiri, ya kupendeza, na ya ujana zaidi
Hii ndio siri ya kina Kardashian, Beyonce, JLO, V.Bekham kuwa wananawiri, ngozi inayovutia na kuonekana vijana siku zote!
Inaongeza uzalishaji wa ngozi mpya na collagen kwa speed ya ajabu
Inafanya rangi ya ngozi kuwa moja na ya asili, mabaka na makovu yanaondoka
Inafanya “skin tightening & toning” kwa uwezo mkubwa, hivyo kuondoa ngozi kulegea na vikunyanzi, na kufanya ngozi kuwa ya ujana zaidi
✅Helps with moisture control
⬆️Production of new skin
⬆️Collegen production
✅Pigmentation removal
✅Scar removal
✅Fine lines and wrinkles removal
Kwa taarifa zaidi pamoja na kufanya booking bonyeza hapa.